Genesis 43:20
Wakasema, “Tafadhali bwana, tulikuja hapa mara ya kwanza kununua chakula.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And said, O sir, we came indeed down at the first time to buy food:
In Context
19Hivyo wakamwendea msimamizi wa nyumba wa Yosefu na kuzungumza naye kwenye ingilio la nyumbani.
Cross References
Genesis 42:3Ndipo wale ndugu kumi wa Yosefu, wakateremka huko Misri kununua nafaka.
Genesis 42:27Walipofika mahali pa kulala huko njiani mmoja wao akafungua gunia lake ili amlishe punda wake, akakuta fedha yake kwenye mdomo wa gunia lake.
Genesis 43:3Lakini Yuda akamwambia, “Mtu yule alituonya kwa msisitizo, ‘Hamtauona uso wangu tena mpaka mje na ndugu yenu.’
1 Kings 3:17Mmojawapo akasema, “Bwana wangu, mimi na mwanamke huyu tunaishi kwenye nyumba moja. Nilikuwa nimezaa alipokuwa pamoja nami.