bible.software › Genesis › Genesis 43 › Genesis 43:22
Genesis 43:22
Pia tumeleta fedha nyingine kwa ajili ya kununulia chakula. Hatujui ni nani aliziweka fedha hizo katika magunia yetu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And other money have we brought down in our hands to buy food: we cannot tell who put our money in our sacks.
In Context
21Lakini mahali pale tulipotua wakati wa jioni tulifungua magunia yetu, na kila mmoja wetu akakuta fedha zake, kwenye mdomo wa gunia lake kiasi kile kile tulicholeta. Kwa hiyo tumezirudisha.
23Akawaambia, “Vema, msiogope. Mungu wenu, Mungu wa baba yenu, amewapa ninyi hazina katika magunia yenu; mimi nilipokea fedha yenu.” Ndipo akawaletea Simeoni.
Read all of Genesis 43
This Verse In Other Editions
Study Genesis 43:22