The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 43 › Genesis 43:31

Genesis 43:31

Baada ya kunawa uso wake, akatoka nje na huku akijizuia akasema, “Pakueni chakula.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he washed his face, and went out, and refrained himself, and said, Set on bread.

In Context

30Akiwa ameguswa sana kwa kumwona ndugu yake, Yosefu akatoka nje kwa haraka na kutafuta mahali pa kulilia. Akaingia kwenye chumba chake cha pekee na kulilia humo.

32Wakampakulia Yosefu peke yake, ndugu zake peke yao na Wamisri waliokula pamoja naye peke yao, kwa sababu Wamisri wasingeweza kula pamoja na Waebrania, kwa maana ilikuwa ni chukizo kwa Wamisri.

Read all of Genesis 43

Cross References

Genesis 45:1Hapo Yosefu hakuweza kujizuia zaidi mbele ya wote waliokuwa wamesimama karibu naye, akapaza sauti, akasema, “Mwondoeni kila mtu mbele yangu!” Kwa hiyo hapakuwepo mtu yeyote pamoja na Yosefu alipojitambulisha kwa ndugu zake.

Jeremiah 31:16Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Izuie sauti yako kulia, 2 na macho yako yasitoe machozi, 1 kwa kuwa kazi yako itapata thawabu,” 4 asema Bwana. 2 “Watarudi kutoka nchi ya adui. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 43:31

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 43:30Genesis 43Genesis 43:32 →