bible.software › Genesis › Genesis 44 › Genesis 44:11
Genesis 44:11
Kila mmoja wao akafanya haraka kushusha gunia lake chini na kulifungua.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then they speedily took down every man his sack to the ground, and opened every man his sack.
In Context
10Akajibu, “Vema sana; na iwe kama msemavyo. Yeyote atakayekutwa nacho atakuwa mtumwa wangu, lakini ninyi wengine mtakuwa hamna lawama.”
12Ndipo msimamizi akaendelea kutafuta, akianzia kwa mkubwa wa wote na akaishia kwa mdogo wa wote. Basi kikombe kikapatikana katika gunia la Benyamini.
Read all of Genesis 44
Cross References
Genesis 42:27Walipofika mahali pa kulala huko njiani mmoja wao akafungua gunia lake ili amlishe punda wake, akakuta fedha yake kwenye mdomo wa gunia lake.
This Verse In Other Editions
Study Genesis 44:11