Genesis 44:28
Mmojawapo alipotea, nami nikasema, “Hakika ameraruliwa vipande vipande.” Nami sijamwona tangu wakati huo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the one went out from me, and I said, Surely he is torn in pieces; and I saw him not since:
In Context
27“Mtumwa wako baba yangu alituambia, ‘Mnajua mke wangu alinizalia wana wawili.
Cross References
Genesis 37:13naye Israeli akamwambia Yosefu, “Kama ujuavyo, ndugu zako wanachunga makundi huko karibu na Shekemu. Njoo, nitakutuma kwao.” Yosefu akajibu, “Vema sana, niko tayari.”
Genesis 42:36Yakobo baba yao akawaambia, “Ninyi mmenipokonya watoto wangu. Yosefu hayupo na Simeoni hayupo tena na sasa mnataka kumchukua Benyamini. Kila kitu ni kinyume nami!”