bible.software › Genesis › Genesis 45 › Genesis 45:12
Genesis 45:12
“Mnaweza kujionea wenyewe, hata ndugu yangu Benyamini, kwamba hakika ni mimi ninayezungumza nanyi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And, behold, your eyes see, and the eyes of my brother Benjamin, that it is my mouth that speaketh unto you.
In Context
11Nitawatunza huko, kwa sababu bado iko miaka mingine mitano inayokuja ya njaa. La sivyo, wewe na nyumba yako na wote ulio nao mtakuwa fukara.’
13Mwambieni baba yangu juu ya heshima yote niliyopewa huku Misri, na kuhusu kila kitu mlichokiona. Mleteni baba yangu huku haraka.”
Read all of Genesis 45
Cross References
Luke 24:39Tazameni mikono yangu na miguu yangu, mwone kuwa ni mimi hasa. Niguseni mwone; kwa maana mzuka hauna nyama na mifupa, kama mnionavyo kuwa navyo.”
This Verse In Other Editions
Study Genesis 45:12