Genesis 45:24
Akaagana na ndugu zake walipokuwa wakiondoka, akawaambia, “Msigombane njiani!”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
25Basi wakatoka Misri na kufika kwa baba yao Yakobo katika nchi ya Kanaani.
Cross References
Genesis 42:21Wakaambiana wao kwa wao, “Hakika tunaadhibiwa kwa sababu ya ndugu yetu. Tuliona jinsi alivyohuzunika alipokuwa anatusihi kuponya maisha yake, lakini hatukumsikiliza, hiyo ndiyo sababu dhiki hii imetupata.”
John 13:34“Amri mpya nawapa: Mpendane kama mimi nilivyowapenda ninyi, vivyo hivyo nanyi mpendane.
Philippians 2:2basi ikamilisheni furaha yangu kwa kuwa na nia moja, mkiwa na upendo huo moja, mkiwa wa roho na kusudi moja.
1 Thessalonians 5:13Waheshimuni sana katika upendo kwa ajili ya kazi zao. Ishini kwa amani ninyi kwa ninyi.