Genesis 45:3
Yosefu akawaambia ndugu zake, “Mimi ni Yosefu! Je, baba yangu angali hai bado?” Lakini ndugu zake hawakuweza kumjibu, kwa sababu walipatwa na hofu kuu mbele yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 23:15Hiyo ndiyo sababu ninaingiwa na hofu mbele zake; 2 nifikiriapo haya yote ninamwogopa. 1
Matthew 14:26Wanafunzi wake walipomwona akitembea juu ya maji, waliingiwa na hofu kuu, wakasema, “Ni mzimu.” Wakapiga yowe kwa kuogopa.
Luke 5:8Simoni Petro alipoona haya yaliyotukia, alianguka miguuni mwa Yesu na kumwambia, “Bwana, ondoka kwangu. Mimi ni mtu mwenye dhambi!”
Acts 7:13Walipokwenda mara ya pili, Yosefu alijitambulisha kwa ndugu zake, nao ndugu zake Yosefu wakajulishwa kwa Farao.
Revelation 1:7Tazama! Anakuja na mawingu, 2 na kila jicho litamwona, 1 hata wale waliomchoma; 2 na makabila yote duniani 2 yataomboleza kwa sababu yake. 4 Naam, ndivyo itakavyokuwa! Amen.