Genesis 46:6
Wakachukua pia mifugo yao na mali walizokuwa wamezipata Kanaani, Yakobo na uzao wake wote wakashuka Misri.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 15:13Kisha Bwana akamwambia, “Ujue hakika kwamba wazao wako watakuwa wageni kwenye nchi ambayo si yao, nao watafanywa watumwa na kuteswa kwa miaka mia nne.
Deuteronomy 10:22Baba zako walioshuka kwenda Misri jumla yao walikuwa sabini, na sasa Bwana Mungu wako amekufanya wengi kama nyota za angani.
Joshua 24:4naye Isaki nikampa Yakobo na Esau. Esau nikampa nchi ya vilima ya Seiri, lakini Yakobo pamoja na wanawe wakashuka Misri.
Psalms 105:23Kisha Israeli akaingia Misri, 2 Yakobo akaishi kama mgeni katika nchi ya Hamu. 1
Acts 7:15Hivyo Yakobo akaenda Misri ambako yeye na baba zetu walifia.