Genesis 47:13
Hata hivyo, hapakuwepo chakula katika sehemu yote kwa kuwa njaa ilikuwa kali sana; Misri na Kanaani zote zikaharibiwa kwa sababu ya njaa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 41:30lakini itafuata miaka saba ya njaa. Ndipo neema yote ya Misri itasahaulika na njaa itaikumba nchi.
1 Kings 18:5Ahabu alikuwa amemwambia Obadia, “Nenda katika nchi yote kwenye vijito vyote na mabonde. Huenda tunaweza kupata majani ya kuwalisha farasi na nyumbu wapate kuishi ili tusilazimike kuwaua hata mmoja wa wanyama wetu.”
Jeremiah 14:1Hili ndilo neno la Bwana kwa Yeremia kuhusu ukame: 1
Lamentations 4:9Wale waliouawa kwa upanga ni bora 2 kuliko wale wanaokufa njaa; 1 wanateseka kwa njaa, wanatokomea 2 kwa kukosa chakula kutoka shambani. 1
Acts 7:11“Basi kukawa na njaa katika nchi yote ya Misri na Kanaani, ikasababisha dhiki kubwa, nao baba zetu wakawa hawana chakula.