Genesis 49:23
Kwa uchungu wapiga mshale walimshambulia, 2 wakampiga mshale kwa ukatili. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The archers have sorely grieved him, and shot at him, and hated him:
In Context
Cross References
Genesis 37:4Ndugu zake walipoona kwamba baba yao anampenda Yosefu kuliko yeyote mwingine miongoni mwao, walimchukia na hawakusema naye neno lolote jema.
Genesis 37:24Kisha wakamchukua wakamtupa katika shimo. Wakati huo shimo lilikuwa tupu, halikuwa na maji ndani yake.
Genesis 39:7baada ya kitambo mke wa Potifa akamtamani Yosefu, akamwambia, “Njoo, ukutane nami kimwili!”
Psalms 64:3Wananoa ndimi zao kama panga 2 na kuelekeza maneno yao kama mishale ya kufisha. 1
John 16:33Nimewaambia mambo haya, ili mpate kuwa na amani mkiwa ndani yangu. Ulimwenguni mtapata dhiki. Lakini jipeni moyo, kwa maana mimi nimeushinda ulimwengu.”