Mwanzo 5:10
Baada ya kumzaa Kenani, Enoshi aliishi miaka 815, naye alikuwa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Enos lived after he begat Cainan eight hundred and fifteen years, and begat sons and daughters:
In Context
9Enoshi alipokuwa ameishi miaka tisini, akamzaa Kenani.
11Enoshi aliishi jumla ya miaka 905, ndipo akafa.