Genesis 5:8
Sethi aliishi jumla ya miaka 912, ndipo akafa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And all the days of Seth were nine hundred and twelve years: and he died.
In Context
7Baada ya kumzaa Enoshi, Sethi aliishi miaka 807, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
9Enoshi alipokuwa ameishi miaka tisini, akamzaa Kenani.
Cross References
Genesis 5:5Adamu aliishi jumla ya miaka 930, ndipo akafa.