Mwanzo 50:1
Basi Yosefu akamwangukia baba yake, akalilia juu yake na akambusu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Joseph fell upon his father’s face, and wept upon him, and kissed him.
In Context
Cross References
Genesis 46:4Nitashuka Misri pamoja nawe, nami hakika nitakurudisha tena Kanaani. Mikono ya Yosefu mwenyewe ndiyo itakayofunga macho yako.”
2 Kings 13:14Wakati huu, Elisha alikuwa anaumwa na ugonjwa ambao baadaye ulimuua. Yehoashi mfalme wa Israeli akashuka kwenda kumwona na kumlilia. Akalia, “Baba yangu! Baba yangu! Magari ya vita ya Israeli na wapanda farasi wake!”
John 11:35Yesu akalia machozi.
Ephesians 6:4Ninyi akina baba, msiwachokoze watoto wenu, bali waleeni kwa nidhamu na mafundisho ya Bwana. 1 Mafundisho Kuhusu Watumwa Na Mabwana