bible.software › Mwanzo › Mwanzo 50 › Mwanzo 50:16
Mwanzo 50:16
Kwa hiyo wakampelekea Yosefu ujumbe, wakasema, “Kabla baba yako hajafa aliacha maagizo haya:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they sent a messenger unto Joseph, saying, Thy father did command before he died, saying,
In Context
15Ndugu zake Yosefu walipoona kwamba baba yao amekufa, wakasema, “Itakuwaje kama Yosefu ataweka kinyongo dhidi yetu na kutulipa mabaya yote tuliyomtendea?”
17‘Hili ndilo mtakalomwambia Yosefu: Ninakuomba uwasamehe ndugu zako dhambi na mabaya kwa vile walivyokutenda vibaya.’ Sasa tafadhali samehe dhambi za watumishi wa Mungu wa baba yako.” Ujumbe huu ulipomfikia, Yosefu akalia.
Read all of Mwanzo 50
Cross References
Proverbs 29:25Kuwaogopa watu huwa ni mtego, 2 bali yeyote amtumainiaye Bwana atakuwa salama. 1
This Verse In Other Editions
Study Mwanzo 50:16