Genesis 7:18
Maji yakajaa na kuongezeka sana juu ya nchi, na safina ikaelea juu ya uso wa maji.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
19Maji yakazidi kujaa juu ya nchi, yakaifunika milima yote mirefu chini ya mbingu yote.
Cross References
Job 22:16Waliondolewa kabla ya wakati wao, 2 misingi yao ikachukuliwa na mafuriko. 1
Psalms 104:26Huko meli huenda na kurudi, 2 pia Lewiathani, + 104:26 Lewiathani ni mnyama mkubwa wa baharini mwenye magamba anayefanana na joka kubwa, mwenye umbo la kutisha, asiyeweza kuvuliwa. uliyemuumba acheze ndani yake. 1