Mwanzo 8:15
Ndipo Mungu akamwambia Noa,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And God spake unto Noah, saying,
In Context
14Katika siku ya ishirini na saba ya mwezi wa pili dunia ilikuwa imekauka kabisa.
16“Toka ndani ya safina, wewe na mkeo na wanao na wake zao.