Genesis 9:1
Ndipo Mungu akambariki Noa na wanawe, akiwaambia, “Zaeni mkaongezeke kwa idadi na mkaijaze tena dunia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 1:28Mungu akawabariki na akawaambia, “Zaeni na mkaongezeke, mkaijaze tena dunia na kuitiisha. Mkatawale samaki wa baharini, ndege wa angani, na kila kiumbe hai kiendacho juu ya ardhi.”
Genesis 8:17Utoe nje kila aina ya kiumbe hai aliye pamoja nawe: Ndege, wanyama na viumbe vyote vitambaavyo juu ya ardhi, ili wakazae, na kuongezeka na kuijaza tena dunia.”
Genesis 9:19Hawa ndio waliokuwa wana watatu wa Noa, kutokana nao watu walienea katika dunia.
Genesis 24:60Wakambariki Rebeka, wakamwambia, 1 “Ndugu yetu, uwe wewe kumi elfu, 2 mara elfu nyingi, 1 nao wazao wako wamiliki 2 malango ya adui zao.”
Psalms 128:3Mke wako atakuwa kama mzabibu uzaao 2 ndani ya nyumba yako; 1 wana wako watakuwa kama machipukizi ya mizeituni 2 kuizunguka meza yako. 1