Genesis 9:24
Noa alipolevuka kutoka kwenye mvinyo wake na kujua lile ambalo mwanawe mdogo kuliko wote alilokuwa amemtendea,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Noah awoke from his wine, and knew what his younger son had done unto him.
In Context
25akasema, 1 “Alaaniwe Kanaani! 2 Atakuwa mtumwa wa chini sana 2 kuliko watumwa wote kwa ndugu zake.”