The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 9 › Genesis 9:26

Genesis 9:26

Pia akasema, 1 “Abarikiwe Bwana, Mungu wa Shemu! 2 Kanaani na awe mtumwa wa Shemu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he said, Blessed be the LORD God of Shem; and Canaan shall be his servant.

In Context

25akasema, 1 “Alaaniwe Kanaani! 2 Atakuwa mtumwa wa chini sana 2 kuliko watumwa wote kwa ndugu zake.”

27Mungu na apanue mipaka ya Yafethi; 2 Yafethi na aishi katika mahema ya Shemu, 2 na Kanaani na awe mtumwa wake.”

Read all of Genesis 9

Cross References

Genesis 12:1Bwana akawa amemwambia Abramu, “Ondoka kutoka nchi yako, uache jamii yako na nyumba ya baba yako, uende hadi nchi nitakayokuonyesha. 1

Genesis 27:40Utaishi kwa upanga, 2 nawe utamtumikia ndugu yako, 1 lakini wakati utakapokuwa umejikomboa, 2 utatupa nira yake 2 kutoka shingoni mwako.” 1 Yakobo Anakimbilia Kwa Labani

Joshua 9:23Sasa mko chini ya laana: Daima mtakuwa wapasua kuni na wachota maji kwa ajili ya nyumba ya Mungu wangu.”

Psalms 144:15Heri watu ambao hili ni kweli; 2 heri wale ambao Bwana ni Mungu wao.

Romans 9:5Wao ni wa uzao wa mababa wakuu wa kwanza, ambao kutoka kwao Kristo alikuja kwa jinsi ya mwili kama mwanadamu, yeye ambaye ni Mungu aliye juu ya vyote, mwenye kuhimidiwa milele! Amen.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 9:26

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 9:25Genesis 9Genesis 9:27 →