The Bible Software
bible.softwareHagaiHagai 2 › Hagai 2:8

Hagai 2:8

‘Fedha ni mali yangu na dhahabu ni mali yangu,’ asema Bwana Mwenye Nguvu Zote.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The silver is mine, and the gold is mine, saith the LORD of hosts.

In Context

7Nitatikisa mataifa yote, nacho kile kinachotamaniwa na mataifa yote kitakuja, nami nitaujaza utukufu katika nyumba hii,’ asema Bwana Mwenye Nguvu Zote.

9‘Utukufu wa nyumba hii ya sasa utakuwa mkubwa kuliko utukufu wa ile nyumba ya mwanzoni,’ asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. ‘Na mahali hapa nitawapa amani,’ asema Bwana Mwenye Nguvu Zote.” 1 Baraka Kwa Watu Waliotiwa Unajisi

Read all of Hagai 2

Cross References

1 Kings 6:20Sehemu takatifu ya ndani ilikuwa na upana, urefu na kimo cha dhiraa ishirini ndani kwa ndani. Akaifunika ndani kwa dhahabu safi, pia akaifunika madhabahu ya mierezi vivyo hivyo.

Job 41:3Je, ataendelea kukuomba umhurumie? 2 Atasema nawe maneno ya upole? 1

Psalms 50:10Kwa maana kila mnyama wa msituni ni wangu, 2 na pia makundi ya mifugo juu ya vilima elfu. 1

Isaiah 60:17Badala ya shaba nitakuletea dhahabu, 2 na fedha badala ya chuma. 1 Badala ya mti nitakuletea shaba, 2 na chuma badala ya mawe. 1 Nitafanya amani kuwa mtawala wako, 2 na haki kuwa mfalme wako. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Hagai 2:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hagai 2:7Hagai 2Hagai 2:9 →