Waebrania 10:27
Lakini kinachobaki ni kungoja kwa hofu hukumu ya moto uwakao, utakaowaangamiza adui za Mungu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
28Yeyote aliyeikataa sheria ya Mose alikufa pasipo huruma kwa ushahidi wa watu wawili au watatu.
Cross References
Deuteronomy 32:43Furahini, enyi mataifa, pamoja na watu wake, 2 kwa kuwa atailipiza damu ya watumishi wake, 1 atalipiza kisasi juu ya adui zake 2 na kufanya upatanisho 2 kwa ajili ya nchi na watu wake.
Psalms 21:9Wakati utakapojitokeza 2 utawafanya kama tanuru ya moto. 1 Katika ghadhabu yake Bwana atawameza, 2 moto wake utawateketeza. 1
Isaiah 26:11Ee Bwana, mkono wako umeinuliwa juu, 2 lakini hawauoni. 1 Wao na waone wivu wako kwa ajili ya watu wako tena waaibishwe, 2 moto uliowekwa akiba kwa ajili ya adui zako na uwateketeze. 1
Jeremiah 4:4Jitahirini katika Bwana, 2 tahirini mioyo yenu, 1 enyi wanaume wa Yuda 2 na watu wa Yerusalemu, 1 la sivyo ghadhabu yangu itatoka kwa nguvu 2 na kuwaka kama moto 1 kwa sababu ya uovu mliotenda, 2 ikiwaka pasipo wa kuizima. 1 Maafa Kutoka Kaskazini 1
Ezekiel 38:19Katika wivu wangu na ghadhabu yangu kali ninasema kuwa wakati ule patakuwepo tetemeko kuu katika nchi ya Israeli.
Hosea 10:8Mahali pa kuabudia sanamu pa uovu + 10:8 Yaani Aveni kwa Kiebrania, kumaanisha Beth-Aveni , jina lingine la Betheli kwa dhihaka. pataharibiwa: 2 ndiyo dhambi ya Israeli. 1 Miiba na mibaruti itaota 2 na kufunika madhabahu zao. 1 Kisha wataiambia milima, “Tufunikeni!” 2 na vilima, “Tuangukieni!” 1