The Bible Software
bible.softwareHebrewsHebrews 10 › Hebrews 10:4

Hebrews 10:4

kwa sababu haiwezekani damu ya mafahali na mbuzi kuondoa dhambi.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For it is not possible that the blood of bulls and of goats should take away sins.

In Context

3Lakini zile dhabihu zilikuwa ukumbusho wa dhambi kila mwaka,

5Kwa hiyo, Kristo alipokuja duniani, alisema: 1 “Dhabihu na sadaka hukuzitaka, 2 bali mwili uliniandalia; 1

Read all of Hebrews 10

Cross References

Psalms 51:16Wewe hupendezwi na dhabihu, au ningaliileta, 2 hufurahii sadaka za kuteketezwa. 1

Isaiah 66:3Lakini yeyote atoaye dhabihu ya fahali 2 ni kama yeye auaye mtu, 1 na yeyote atoaye sadaka ya mwana-kondoo, 2 ni kama yule avunjaye shingo ya mbwa. 1 Yeyote atoaye sadaka ya nafaka, 2 ni kama yule aletaye damu ya nguruwe, 1 na yeyote afukizaye uvumba wa kumbukumbu, 2 ni kama yule aabuduye sanamu. 1 Wamejichagulia njia zao wenyewe, 2 nazo nafsi zao zinafurahia machukizo yao. 1

Jeremiah 7:21“ ‘Hivi ndivyo asemavyo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli: Endeleeni, ongezeni sadaka zenu za kuteketezwa juu ya dhabihu zenu nyingine, mle nyama hiyo wenyewe!

Hosea 14:2Chukueni maneno pamoja nanyi, 2 mkamrudie Bwana. 1 Mwambieni: 2 “Samehe dhambi zetu zote 1 na utupokee kwa neema, 2 ili tuweze kutoa matunda yetu 2 kama sadaka za mafahali. 1

Micah 6:6Nimjie Bwana na kitu gani na kusujudu 2 mbele za Mungu aliyetukuka? 1 Je, nije mbele zake na sadaka za kuteketezwa, 2 nije na ndama za mwaka mmoja? 1

John 1:29Siku iliyofuata, Yohana alimwona Yesu akimjia akasema, “Tazama, Mwana-Kondoo wa Mungu aichukuaye dhambi ya ulimwengu!

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Hebrews 10:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hebrews 10:3Hebrews 10Hebrews 10:5 →