Hebrews 11:21
Kwa imani Yakobo alipokuwa anakufa, alimbariki kila mmoja wa mtoto wa Yosefu, akamwabudu Mungu akiwa ameegemea juu ya kichwa cha fimbo yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
20Kwa imani Isaki alimbariki Yakobo na Esau kuhusu maisha yao ya baadaye.
Cross References
Genesis 48:5“Sasa basi, wanao wawili waliozaliwa kwako huku Misri kabla sijaja hapa kwako watahesabiwa kuwa ni wangu; Efraimu na Manase watakuwa wangu, kama vile Reubeni na Simeoni walivyo wangu.