bible.software › Waebrania › Waebrania 11 › Waebrania 11:24
Waebrania 11:24
Kwa imani, Mose alipokuwa mtu mzima, alikataa kuitwa mwana wa binti Farao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
By faith Moses, when he was come to years, refused to be called the son of Pharaoh’s daughter;
In Context
23Kwa imani, wazazi wa Mose walimficha kwa miezi mitatu baada ya kuzaliwa, kwa sababu waliona kuwa si mtoto wa kawaida, wala hawakuiogopa amri ya mfalme.
25Akachagua kupata mateso pamoja na watu wa Mungu kuliko kujifurahisha kwa anasa za dhambi kwa kitambo kidogo tu.
Read all of Waebrania 11
Cross References
Acts 7:21Waliposhindwa kumficha zaidi, wakamweka nje mtoni na binti Farao akamchukua akamtunza kama mtoto wake mwenyewe.
This Verse In Other Editions
Study Waebrania 11:24