Waebrania 11:26
Aliona kushutumiwa kwa ajili ya Kristo ni utajiri mkubwa zaidi kuliko hazina za Misri, maana alikuwa anatazamia kupata thawabu baadaye.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 37:16Bora kidogo walicho nacho wenye haki 2 kuliko wingi wa mali wa waovu wengi; 1
Psalms 69:20Dharau zimenivunja moyo 2 na nimekata tamaa, 1 nimetafuta wa kunihurumia, lakini sikumpata, 2 wa kunituliza, lakini sikumpata. 1
Proverbs 11:18Mtu mwovu hupata ujira wa udanganyifu, 2 bali yeye apandaye haki huvuna tuzo ya uhakika. 1
Isaiah 51:7“Nisikieni, ninyi mnaojua lililo sawa, 2 ninyi watu ambao mna sheria yangu mioyoni mwenu: 1 Msiogope mashutumu ya wanadamu 2 wala msitiwe hofu na matukano yao. 1
Matthew 5:12Furahini na kushangilia kwa maana thawabu yenu ni kubwa mbinguni, kwa kuwa hivyo ndivyo walivyowatesa manabii waliokuwa kabla yenu. 1 Chumvi Na Nuru (Marko 9:50; Luka 14:34-35)
Matthew 10:41Mtu yeyote anayempokea nabii kwa kuwa ni nabii atapokea thawabu ya nabii, naye mtu anayempokea mwenye haki kwa kuwa ni mwenye haki atapokea thawabu ya mwenye haki.