Hebrews 11:3
Kwa imani tunafahamu kwamba ulimwengu uliumbwa kwa neno la Mungu, vitu vyote vinavyoonekana havikuumbwa kutoka kwa vitu vinavyoonekana. 1 Mfano Wa Abeli, Enoki Na Noa
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2Maana baba zetu wa kale walipongezwa kwa haya.
Cross References
Genesis 1:1Hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na dunia.
Isaiah 40:26Inueni macho yenu mtazame mbinguni: 2 Ni nani aliyeumba hivi vyote? 1 Ni yeye aletaye nje jeshi la nyota moja baada ya nyingine 2 na kuziita kila moja kwa jina lake. 1 Kwa sababu ya uweza wake mkuu na nguvu zake kuu, 2 hakuna hata mojawapo inayokosekana. 1
Jeremiah 10:16Yeye aliye Fungu la Yakobo sivyo alivyo, 2 kwani ndiye Muumba wa vitu vyote, 1 pamoja na Israeli, kabila la urithi wake: 2 Bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake. 1 Maangamizi Yajayo 1
Acts 14:15“Enyi watu, kwa nini mnafanya mambo haya? Sisi ni wanadamu tu kama ninyi! Tunawaletea habari njema, tukiwaambia kwamba mgeuke mtoke katika mambo haya yasiyofaa, mmwelekee Mungu aliye hai, aliyeziumba mbingu na nchi na bahari na vitu vyote vilivyomo.
Romans 1:19kwa maana yote yanayoweza kujulikana kumhusu Mungu ni dhahiri kwao, kwa sababu Mungu mwenyewe ameyadhihirisha kwao.
Hebrews 1:2lakini katika siku hizi za mwisho anasema nasi kwa njia ya Mwanawe, ambaye amemweka kuwa mrithi wa vitu vyote, na ambaye kupitia kwake aliuumba ulimwengu.