Waebrania 11:33
ambao kwa imani walishinda milki za wafalme, walitekeleza haki, na wakapokea ahadi za Mungu; walifunga vinywa vya simba,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Joshua 6:1Basi malango ya Yeriko yalifungwa kwa uthabiti kwa ajili ya Waisraeli. Hakuna mtu yeyote aliyetoka au kuingia.
1 Samuel 17:33Sauli akamjibu Daudi, “Wewe hutaweza kwenda kupigana dhidi ya huyu Mfilisti; wewe ni kijana tu, naye amekuwa mtu wa vita tangu ujana wake.”
2 Samuel 7:11na kama walivyofanya tangu mwanzo wakati nilipowaweka viongozi juu ya watu wangu Israeli. Pia nitawapa raha mbele ya adui zenu wote. “ ‘ Bwana akuambia kwamba Bwana mwenyewe atakujengea nyumba.
1 Kings 13:28Kisha akatoka akaenda akakuta maiti imebwagwa chini barabarani, punda na simba wakiwa wamesimama kando yake. Simba hakuwa amekula ile maiti wala kumrarua punda.
Psalms 44:2Kwa mkono wako uliwafukuza mataifa 2 na ukawapanda baba zetu, 1 uliangamiza mataifa 2 na kuwastawisha baba zetu. 1
Psalms 144:1Sifa ni kwa Bwana Mwamba wangu, 2 aifundishaye mikono yangu vita, 2 na vidole vyangu kupigana. 1