Waebrania 12:22
Lakini ninyi mmekuja Mlima Sayuni, Yerusalemu ya mbinguni, mji wa Mungu aliye hai. Mmekuja penye kusanyiko kubwa la malaika maelfu kwa maelfu wasiohesabika wanaoshangilia,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
21Waliyoyaona yalikuwa ya kutisha kiasi kwamba Mose alisema, “Ninatetemeka kwa hofu.”
Cross References
Deuteronomy 33:2Alisema: 1 “ Bwana alikuja kutoka Mlima Sinai, 2 akachomoza kama jua juu yao 2 kutoka Mlima Seiri, 2 akaangaza kutoka Mlima Parani. 1 Alikuja pamoja na watakatifu makumi elfu 2 kutoka kusini, 2 kutoka materemko ya mlima wake. 1
2 Kings 19:4Yamkini Bwana, Mungu wako atayasikia maneno ya jemadari wa jeshi, ambaye bwana wake, mfalme wa Ashuru, amemtuma kumdhihaki Mungu aliye hai, tena kwamba atamkemea kwa maneno ambayo Bwana, Mungu wako ameyasikia. Kwa hiyo omba kwa ajili ya mabaki ambao bado wako.”
Psalms 42:2Nafsi yangu inamwonea Mungu kiu, Mungu aliye hai. 2 Ni lini nitaweza kwenda kukutana na Mungu? 1
Psalms 68:17Magari ya Mungu ni makumi ya maelfu, 2 na maelfu ya maelfu; 1 Bwana amekuja kutoka Sinai 2 hadi katika patakatifu pake. 1
Psalms 87:3Mambo matukufu yanasemwa juu yako, 2 ee mji wa Mungu: 1
Isaiah 12:6Pazeni sauti mwimbe kwa furaha, watu wa Sayuni, 2 kwa maana mkuu ni yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli miongoni mwenu.”