Waebrania 12:26
Wakati ule sauti yake ilitetemesha dunia, lakini sasa ameahidi, “Kwa mara moja tena nitatetemesha si nchi tu bali na mbingu pia.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 114:6enyi milima mkarukaruka kama kondoo dume, 2 enyi vilima, kama wana-kondoo? 1
Isaiah 13:13Kwa hiyo nitazifanya mbingu zitetemeke, 2 nayo dunia itatikisika kutoka mahali pake 1 katika ghadhabu ya Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 katika siku ya hasira yake iwakayo. 1
Habakkuk 3:10milima ilikuona ikatetemeka. 1 Mafuriko ya maji yakapita huko; 2 vilindi vilinguruma 2 na kuinua mawimbi yake juu. 1
Haggai 2:22Nitapindua viti vya enzi vya falme, na kuziharibu kabisa nguvu za falme za kigeni. Nitapindua magari ya vita pamoja na waendeshaji wake; farasi na wapanda farasi wataanguka, kila mmoja kwa upanga wa ndugu yake.