Hebrews 13:1
Endeleeni kupendana kama ndugu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
John 15:17Amri yangu ndiyo hii: Mpendane. 1 Ulimwengu Wawachukia Wanafunzi
Acts 2:44Walioamini wote walikuwa mahali pamoja, nao walikuwa na kila kitu shirika.
Romans 12:9Upendo lazima usiwe na unafiki. Chukieni lililo ovu, shikamaneni na lililo jema.
Galatians 5:13Ndugu zangu, ninyi mliitwa ili mwe huru, hivyo msitumie uhuru wenu kama fursa ya kufuata tamaa za mwili, bali tumikianeni ninyi kwa ninyi kwa upendo.
Ephesians 4:3Jitahidini kudumisha umoja wa Roho katika kifungo cha amani.
Philippians 2:1Kama kukiwa na jambo lolote la kutia moyo katika kuunganishwa na Kristo, kukiwa faraja yoyote katika upendo wake, kukiwa na ushirika wowote na Roho, kukiwa na wema wowote na huruma,