Hebrews 13:19
Ninawasihi zaidi mniombee ili nipate kurudishwa kwenu upesi. 1 Maombi Ya Kuwatakia Baraka
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But I beseech you the rather to do this, that I may be restored to you the sooner.
In Context
18Tuombeeni. Tuna hakika kuwa tunayo dhamiri safi na shauku ya kuishi kwa uadilifu kwa kila njia.
Cross References
Romans 15:31Ombeni ili nipate kuokolewa mikononi mwa wale wasioamini walioko Uyahudi, na kwamba utumishi wangu upate kukubaliwa na watakatifu wa huko Yerusalemu,