Hebrews 2:10
Ili kuwaleta wana wengi katika utukufu, ilifaa kwamba Mungu, ambaye ni kwa ajili yake na kupitia kwake kila kitu kimekuwepo, amkamilishe mwanzilishi wa wokovu wao kwa njia ya mateso.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 7:15fahali mmoja mchanga, kondoo dume mmoja na mwana-kondoo dume mmoja wa mwaka mmoja, kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa;
Proverbs 16:4Bwana hufanya kila kitu kwa kusudi lake mwenyewe; 2 hata waovu kwa siku ya maangamizi. 1
Isaiah 55:4Tazama, nimemfanya kuwa shahidi wa mataifa, 2 kiongozi na jemadari wa mataifa. 1
Micah 2:13Yeye afunguaye njia atawatangulia; 2 watapita kwenye lango na kutoka nje. 1 Mfalme wao atawatangulia, 2 Bwana atakuwa kiongozi.”
Luke 13:32Yesu akawajibu, “Nendeni mkamwambie yule mbweha, ‘Ninafukuza pepo wachafu na kuponya wagonjwa leo na kesho, nami siku ya tatu nitaikamilisha kazi yangu.’
Luke 24:46Akawaambia, “Haya ndiyo yaliyoandikwa: Kristo atateswa na siku ya tatu atafufuka kutoka kwa wafu.