Waebrania 3:15
Kama ilivyonenwa: 1 “Leo, kama mkiisikia sauti yake, 2 msiifanye mioyo yenu migumu 1 kama mlivyofanya wakati wa kuasi.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
While it is said, To day if ye will hear his voice, harden not your hearts, as in the provocation.
In Context
16Basi ni nani waliosikia lakini bado wakaasi? Je, si wale wote waliotoka Misri wakiongozwa na Mose?
Cross References
Psalms 95:7kwa maana yeye ndiye Mungu wetu, 2 na sisi ni watu wa malisho yake, 2 kondoo chini ya utunzaji wake. 1 Kama mkiisikia sauti yake leo, 2
Hebrews 10:29Je, mnadhani ni adhabu kali kiasi gani anayostahili kupewa mtu aliyemkanyaga Mwana wa Mungu chini ya nyayo zake, yeye aliyeifanya damu ya Agano iliyomtakasa kuwa kitu najisi na kumtendea maovu Roho wa neema?