Waebrania 6:17
Mungu alipotaka kuonyesha kwa udhahiri zaidi ile asili ya kutokubadilika kwa ahadi yake kwa warithi wa ahadi, aliithitibisha kwa kiapo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 22:11jambo hili kati yao wawili litaamuliwa kwa kuapa kiapo mbele za Bwana, kwamba huyo jirani hakuhusika na wizi wa mali ya jirani yake. Mwenye mali itampasa akubali jambo hili, na hakuna malipo yatakayohitajika.
Psalms 33:11Lakini mipango ya Bwana inasimama imara milele, 2 makusudi ya moyo wake kwa vizazi vyote. 1
Psalms 110:4Bwana ameapa, 2 naye hatabadilisha mawazo yake: 2 “Wewe ni kuhani milele, 2 kwa mfano wa Melkizedeki.” 1
Song of Solomon 5:1Nimekuja kwenye bustani yangu, dada yangu, 2 bibi arusi wangu; 1 nimekusanya manemane yangu pamoja 2 na kikolezo changu. 1 Nimekula sega langu la asali na asali yangu; 2 nimekunywa divai yangu na maziwa yangu. Marafiki 1 Kuleni, enyi marafiki, mnywe; 1 kunyweni ya kutosha, ee wapenzi. 1 Shairi La Nne Mpendwa 1
Isaiah 14:26Huu ndio mpango uliokusudiwa kwa ajili ya ulimwengu wote, 2 huu ni mkono ulionyooshwa juu ya mataifa yote. 1
Isaiah 54:9“Kwangu mimi jambo hili ni kama siku za Noa, 2 nilipoapa kuwa maji ya Noa kamwe hayatafunika tena dunia. 1 Hivyo sasa nimeapa sitawakasirikia ninyi, 2 kamwe sitawakemea tena. 1