Waebrania 6:19
Tunalo tumaini hili kama nanga ya roho iliyo imara na thabiti. Tumaini hili huingia katika sehemu takatifu iliyopo nyuma ya pazia,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 16:2Bwana akamwambia Mose: “Mwambie ndugu yako Aroni asije wakati wowote atakavyo yeye ndani ya Patakatifu pa Patakatifu, nyuma ya pazia pale mbele ya kiti cha rehema kile kilichoko juu ya Sanduku la Agano, la sivyo atakufa, kwa sababu huwa ninatokea ndani ya wingu juu ya kile kiti cha rehema.
Psalms 42:5Ee nafsi yangu, kwa nini unasononeka? 2 Kwa nini unafadhaika hivyo ndani yangu? 1 Weka tumaini lako kwa Mungu, 2 kwa sababu bado nitamsifu, 2 Mwokozi wangu na
Psalms 43:5Ee nafsi yangu, kwa nini unasononeka? 2 Kwa nini unafadhaika hivyo ndani yangu? 1 Weka tumaini lako kwa Mungu, 2 kwa sababu bado nitamsifu 2 Mwokozi wangu na Mungu wangu.
Psalms 146:5Heri yeye ambaye Mungu wa Yakobo ni msaada wake, 2 ambaye tumaini lake ni katika Bwana, Mungu wake, 1
Isaiah 25:3Kwa hiyo mataifa yenye nguvu yatakuheshimu, 2 miji ya mataifa katili itakuheshimu wewe. 1
Jeremiah 17:7“Lakini amebarikiwa mtu ambaye tumaini lake ni katika Bwana, 2 ambaye matumaini yake ni katika Bwana. 1