Hebrews 7:1
Kwa kuwa huyu Melkizedeki alikuwa mfalme wa Salemu na kuhani wa Mungu Aliye Juu Sana. Alipokutana na Abrahamu akirudi kutoka kuwashinda hao wafalme, Melkizedeki alimbariki,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 14:18Ndipo Melkizedeki mfalme wa Salemu alipoleta mkate na divai. Alikuwa kuhani wa Mungu Aliye Juu Sana.
Psalms 57:2Namlilia Mungu Aliye Juu Sana, 2 Mungu atimizaye makusudi yake kwangu. 1
Psalms 78:35Walikumbuka kwamba Mungu alikuwa Mwamba wao, 2 kwamba Mungu Aliye Juu Sana alikuwa Mkombozi wao. 1
Isaiah 41:2“Ni nani aliyemchochea mmoja kutoka mashariki, 2 akimwita katika haki kwa utumishi wake? 1 Huyatia mataifa mikononi mwake, 2 na kuwatiisha wafalme mbele zake. 1 Huwafanya kuwa mavumbi kwa upanga wake, 2 huwafanya makapi yapeperushwayo na upepo kwa upinde wake. 1
Daniel 5:18“Ee mfalme, Mungu Aliye Juu Sana alimpa baba yako Nebukadneza utawala, ukuu, utukufu na fahari.
Micah 6:6Nimjie Bwana na kitu gani na kusujudu 2 mbele za Mungu aliyetukuka? 1 Je, nije mbele zake na sadaka za kuteketezwa, 2 nije na ndama za mwaka mmoja? 1