Hosea 6:7
Wamevunja Agano kama Adamu: 2 huko hawakuwa waaminifu kwangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But they like men have transgressed the covenant: there have they dealt treacherously against me.
In Context
6Kwa maana nataka rehema, wala si dhabihu, 2 kumkubali Mungu zaidi 2 kuliko sadaka za kuteketezwa. 1
8Gileadi ni mji wenye watu waovu, 2 umetiwa madoa kwa nyayo za damu. 1
Cross References
Genesis 3:11Mungu akamuuliza, “Ni nani aliyekuambia ya kuwa ulikuwa uchi? Je, umekula matunda ya mti niliokuamuru usile?”
2 Kings 17:15Walizikataa amri zake, na agano alilokuwa amelifanya na baba zao, na maonyo aliyokuwa amewapa. Wakafuata sanamu zisizofaa, nao wenyewe wakawa hawafai. Wakayaiga mataifa yaliyowazunguka, ingawa Bwana alikuwa amewaonya akiwaambia, “Msifanye kama wanavyofanya,” nao wakafanya mambo ambayo Bwana alikuwa amewakataza wasifanye.
Isaiah 24:5Dunia imetiwa unajisi na watu wake; 2 wameacha kutii sheria, 1 wamevunja amri 2 na kuvunja agano la milele. 1
Isaiah 48:8Hujayasikia wala kuyaelewa, 2 tangu zamani sikio lako halikufunguka. 1 Ninafahamu vyema jinsi ulivyo mdanganyifu, 2 uliitwa mwasi tangu kuzaliwa kwako. 1
Jeremiah 5:11Nyumba ya Israeli na nyumba ya Yuda 2 wamekuwa si waaminifu kwangu kamwe,” 4 asema Bwana. 1
Jeremiah 31:32Halitafanana na agano 2 nililofanya na baba zao 1 wakati nilipowashika mkono 2 kuwaongoza watoke Misri, 1 kwa sababu walivunja agano langu, 2 ijapokuwa nilikuwa mume kwao,” 4 asema Bwana. 1