Isaiah 1:16
jiosheni na mkajitakase. 1 Yaondoeni matendo yenu maovu 2 mbele zangu! 1 Acheni kutenda mabaya, 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Wash you, make you clean; put away the evil of your doings from before mine eyes; cease to do evil;
In Context
Cross References
2 Kings 17:13Bwana akawaonya Israeli na Yuda kupitia kwa manabii na waonaji wake wote: “Acheni njia zenu mbaya. Shikeni amri na maagizo yangu, kufuatana na sheria yangu yote niliyowaagiza baba zenu kuitii ambayo niliileta kwenu kupitia kwa watumishi wangu manabii.”
Psalms 26:6Ninanawa mikono yangu kwa kuwa sina hatia, 2 naikaribia madhabahu yako, Ee Bwana, 1
Psalms 37:27Acha ubaya na utende wema, 2 nawe utaishi katika nchi milele. 1
Isaiah 55:6Mtafuteni Bwana maadamu anapatikana; 2 mwiteni maadamu yu karibu. 1
Jeremiah 4:14Ee Yerusalemu, usafishe uovu kutoka moyoni mwako na uokolewe. 2 Utaendelea kuficha mawazo mapotovu mpaka lini? 1
Jeremiah 25:5Walisema, “Geukeni sasa, kila mmoja wenu kutoka njia yake mbaya na matendo yake maovu, ndipo mtaweza kukaa katika nchi ambayo Bwana aliwapa ninyi na baba zenu milele.