Isaiah 16:2
Kama ndege wanaopapatika 2 waliofukuzwa kutoka kwenye kiota, 1 ndivyo walivyo wanawake wa Moabu 2 kwenye vivuko vya Arnoni. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 2:36Kutoka Aroeri kwenye ukingo wa Bonde la Arnoni, kutoka mji ulio ndani ya bonde, hata mpaka Gileadi, hapakuwa na mji hata mmoja uliokuwa na nguvu kutushinda. Bwana Mungu wetu alitupa yote.
Deuteronomy 3:12Katika nchi tuliyoiteka wakati ule, niliwapa kabila la Reubeni na Gadi eneo lililoko kaskazini la Aroeri kando ya Bonde la Arnoni, na nusu ya eneo la milima ya Gileadi, pamoja na miji yake.
Judges 11:18“Baadaye wakasafiri kupitia jangwa, wakiambaa na nchi za Edomu na Moabu, wakapitia upande wa mashariki wa nchi ya Moabu na kupiga kambi upande mwingine wa Arnoni. Hawakuingia katika nchi ya Moabu, kwa kuwa Arnoni ilikuwa mpaka wake.
Isaiah 13:14Kama swala awindwaye, 2 kama kondoo wasio na mchungaji, 1 kila mmoja atarudi kwa watu wake mwenyewe, 2 kila mmoja atakimbilia nchi yake ya kuzaliwa. 1