Isaya 20:1
Katika mwaka ule ambao jemadari mkuu alitumwa na Mfalme Sargoni wa Ashuru, naye akaja mpaka Ashdodi, akaushambulia na kuuteka,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Samuel 6:17Haya ndiyo yale majipu ya dhahabu Wafilisti waliyotuma kama sadaka ya hatia kwa Bwana, moja kwa ajili ya Ashdodi, moja kwa Gaza, moja kwa Ashkeloni, moja kwa Gathi, na moja kwa Ekroni.
2 Chronicles 26:6Alipigana vita dhidi ya Wafilisti na kubomoa kuta za Gathi, Yabne na Ashdodi. Kisha akajenga upya miji karibu na Ashdodi na mahali pengine katikati ya Wafilisti.
Jeremiah 25:20pia wageni wote walioko huko; wafalme wote wa nchi ya Usi; wafalme wote wa Wafilisti (wale wa Ashkeloni, Gaza, Ekroni na watu walioachwa huko Ashdodi);
Amos 1:8Nitamwangamiza mfalme wa Ashdodi 2 na yeye aishikaye fimbo ya utawala katika Ashkeloni. 1 Nitaugeuza mkono wangu dhidi ya Ekroni, 2 hadi Mfilisti wa mwisho atakapokufa,” 4 asema Bwana Mwenyezi.