The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 50 › Isaiah 50:2

Isaiah 50:2

Nilipokuja, kwa nini hakuwepo hata mmoja? 2 Nilipoita, kwa nini hakuwepo hata mmoja wa kujibu? 1 Je, mkono wangu ni mfupi mno hata nisiweze kuwakomboa? 2 Je, mimi sina nguvu za kukuokoa? 1 Kwa kukemea tu naikausha bahari, 2 naigeuza mito ya maji kuwa jangwa; 1 samaki wake wanaoza kwa kukosa maji 2 na kufa kwa ajili ya kiu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Wherefore, when I came, was there no man? when I called, was there none to answer? Is my hand shortened at all, that it cannot redeem? or have I no power to deliver? behold, at my rebuke I dry up the sea, I make the rivers a wilderness: their fish stinketh, because there is no water, and dieth for thirst.

In Context

1Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Iko wapi hati ya talaka ya mama yako 2 ambayo kwayo niliachana naye? 1 Au nimewauza ninyi kwa nani 2 miongoni mwa watu wanaonidai? 1 Kwa ajili ya dhambi zenu mliuzwa, 2 kwa sababu ya makosa, mama yenu aliachwa. 1

3Ninalivika anga weusi na kufanya nguo ya gunia 2 kuwa kifuniko chake.” 1

Read all of Isaiah 50

Cross References

Genesis 18:14Je, kuna jambo lolote gumu lisilowezekana kwa Bwana? Nitakurudia mwakani majira kama haya, naye Sara atakuwa na mwana.”

Exodus 7:21Samaki katika Mto Naili wakafa, nao mto ukanuka vibaya sana kiasi kwamba Wamisri hawakuweza kunywa maji yake. Damu ilikuwa kila mahali katika nchi ya Misri.

Exodus 14:29Lakini Waisraeli wakapita baharini mahali pakavu, ukiwepo ukuta wa maji upande wao wa kuume na upande wao wa kushoto.

Joshua 3:16maji hayo yaliyotiririka kutoka upande wa juu yaliacha kutiririka yakasimama kama chuguu mbali kabisa nao, kwenye mji ulioitwa Adamu kwenye eneo la Sarethani, wakati yale maji yaliyokuwa yanatiririka kuingia kwenye Bahari ya Araba (yaani Bahari ya Chumvi), yalitindika kabisa. Hivyo watu wakavuka kukabili Yeriko.

Psalms 106:9Alikemea Bahari ya Shamu, nayo ikakauka, 2 akawaongoza katika vilindi vyake kama vile jangwani. 1

Psalms 114:3Bahari ilitazama ikakimbia, 2 Yordani ulirudi nyuma, 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 50:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 50:1Isaiah 50Isaiah 50:3 →