Isaiah 52:14
Kama walivyokuwa wengi 2 walioshangazwa naye, 1 kwani uso wake ulikuwa umeharibiwa sana 2 zaidi ya mtu yeyote 1 na umbo lake kuharibiwa 2 zaidi ya mfano wa mwanadamu: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Tazama, mtumishi wangu atatenda kwa hekima; 2 atatukuzwa, na kuinuliwa juu, na kukwezwa sana. 1
Cross References
Psalms 22:6Mimi ni mnyoo wala si mwanadamu, 2 wanaume wamenibeza, na watu wamenidharau. 1
Psalms 22:17Naweza kuhesabu mifupa yangu yote, 2 watu wananikodolea macho na kunisimanga. 1
Psalms 102:3Kwa kuwa siku zangu zinatoweka kama moshi, 2 mifupa yangu inaungua kama kaa la moto. 1
Isaiah 53:2Alikua mbele yake kama mche mwororo 2 na kama mzizi katika nchi kavu. 1 Hakuwa na uzuri wala utukufu wa kutuvutia kwake, 2 hakuwa na chochote katika sura yake cha kutufanya tumtamani. 1
Matthew 22:22Waliposikia hili, wakashangaa. Hivyo wakamwacha, wakaenda zao. 1 Ndoa Na Ufufuo (Marko 12:18-27; Luka 20:27-40)
Matthew 27:14Lakini Yesu hakumjibu hata kwa shtaka moja, kiasi kwamba mtawala alishangaa sana.