Isaya 55:9
“Kama vile mbingu zilivyo juu kuliko dunia, 2 ndivyo njia zangu zilivyo juu kuliko njia zenu 2 na mawazo yangu kuliko mawazo yenu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8“Kwa kuwa mawazo yangu si mawazo yenu, 2 wala njia zenu si njia zangu,” 4 asema Bwana. 1
Cross References
Psalms 36:5Upendo wako, Ee Bwana, unafika hadi mbinguni, 2 uaminifu wako hadi kwenye anga. 1
Psalms 89:2Nitatangaza kuwa upendo wako unasimama imara milele 2 na uaminifu wako umeuthibitisha mbinguni. 1
Psalms 103:11Kama vile mbingu zilivyo juu ya dunia sana, 2 ndivyo wema wake ulivyo mwingi kwa wanaomcha; 1
Romans 11:31hivyo nao Waisraeli wamekuwa waasi ili kwamba wao nao sasa waweze kupata rehema kwa ajili ya rehema za Mungu kwenu.