Isaiah 6:3
Nao walikuwa wakiitana kila mmoja na mwenzake: 1 “Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu 2 ni Bwana Mwenye Nguvu Zote; 2 dunia yote imejaa utukufu wake.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Kwa sauti zao, miimo ya milango na vizingiti vilitikisika, nalo Hekalu likajaa moshi.
Cross References
Exodus 15:20Kisha Miriamu yule nabii mke, ndugu yake Aroni, akachukua matari mkononi mwake na wanawake wote wakamfuata na matari yao wakicheza.
Ezra 3:11Waliimba nyimbo za sifa na za shukrani kwa Bwana hivi: 1 “Yeye ni mwema; 2 upendo wake kwa Israeli 2 wadumu milele.” Watu wote wakapaza sauti kubwa za sifa kwa Bwana, kwa sababu msingi wa nyumba ya Bwana ulikuwa umewekwa.
Psalms 19:1Mbingu zinatangaza utukufu wa Mungu, 2 anga zahubiri kazi ya mikono yake. 1
Psalms 57:11Ee Mungu, utukuzwe juu mbinguni, 2 utukufu wako na uwe duniani pote.
Psalms 72:19Jina lake tukufu lisifiwe milele, 2 ulimwengu wote ujae utukufu wake. Amen na Amen. 1
Isaiah 11:9Hawatadhuru wala kuharibu 2 juu ya mlima wangu mtakatifu wote, 1 kwa kuwa dunia itajawa na kumjua Bwana 2 kama maji yajazavyo bahari.