The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 60 › Isaiah 60:9

Isaiah 60:9

Hakika visiwa vinanitazama, 2 merikebu za Tarshishi + 60:9 Au: za biashara (ona pia 1Fal 10:22; 22:48; 2Nya 9:21; 20:36; Isa 2:16 ). ndizo zinazotangulia, 1 zikiwaleta wana wenu kutoka mbali, 2 wakiwa na fedha na dhahabu zao, 1 kwa heshima ya Bwana, Mungu wenu, 2 yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli, 2 kwa maana amekujalia utukufu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Surely the isles shall wait for me, and the ships of Tarshish first, to bring thy sons from far, their silver and their gold with them, unto the name of the LORD thy God, and to the Holy One of Israel, because he hath glorified thee.

In Context

8“Ni nani hawa warukao kama mawingu, 2 kama hua kuelekea kwenye viota vyao? 1

10“Wageni watazijenga upya kuta zako, 2 na wafalme wao watakutumikia. 1 Ingawa katika hasira nilikupiga, 2 lakini katika upendeleo wangu 2 nitakuonyesha huruma. 1

Read all of Isaiah 60

Cross References

Genesis 9:27Mungu na apanue mipaka ya Yafethi; 2 Yafethi na aishi katika mahema ya Shemu, 2 na Kanaani na awe mtumwa wake.”

Exodus 33:19Ndipo Bwana akasema, “Nitapitisha wema wangu wote mbele yako, nami nitalitangaza Jina langu, Bwana, mbele ya uso wako. Nitamrehemu yeye nimrehemuye, na pia nitamhurumia yeye nimhurumiaye.”

Joshua 9:9Nao wakamjibu: “Watumishi wako wametoka nchi ya mbali sana kwa ajili ya umaarufu wa Bwana Mungu wenu. Kwa kuwa tumesikia taarifa zake: hayo yote aliyofanya huko Misri,

1 Kings 10:1Malkia wa Sheba aliposikia habari za umaarufu wa Solomoni na uhusiano wake na jina la Bwana, akaja kumjaribu kwa maswali magumu.

1 Kings 22:48Wakati huu Yehoshafati akaunda merikebu nyingi za biashara + 22:48 Au: za Tarshishi (ona pia 1Fal 10:22; 2Nya 9:21; 20:36; Isa 2:16; 60:9 ). ili kwenda Ofiri kuchukua dhahabu, lakini kamwe hazikusafiri, kwa maana zilivunjika huko Esion-Geberi.

Psalms 72:10Wafalme wa Tarshishi na wa pwani za mbali 2 watamletea kodi; 1 wafalme wa Sheba na Seba 2 watampa zawadi. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 60:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 60:8Isaiah 60Isaiah 60:10 →