The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 63 › Isaiah 63:7

Isaiah 63:7

Nitasimulia juu ya wema wa Bwana, 2 kwa matendo ambayo apaswa kusifiwa, 1 sawasawa na yote ambayo Bwana 2 ametenda kwa ajili yetu: 1 naam, mambo mengi mema aliyoyatenda 2 kwa ajili ya nyumba ya Israeli, 1 sawasawa na huruma zake 2 na wema wake mwingi. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I will mention the lovingkindnesses of the LORD, and the praises of the LORD, according to all that the LORD hath bestowed on us, and the great goodness toward the house of Israel, which he hath bestowed on them according to his mercies, and according to the multitude of his lovingkindnesses.

In Context

6Nilikanyaga mataifa kwa miguu katika hasira yangu, 2 katika ghadhabu yangu niliwalewesha, 2 na kumwaga damu yao juu ya ardhi.” 1 Kusifu Na Kuomba 1

8Alisema, “Hakika wao ni watu wangu, 2 wana ambao hawatanidanganya”; 2 hivyo akawa Mwokozi wao. 1

Read all of Isaiah 63

Cross References

Numbers 14:18‘ Bwana si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa upendo na mwenye kusamehe dhambi na uasi. Lakini haachi kumwadhibu mwenye hatia, huadhibu watoto kwa ajili ya dhambi ya baba zao hata kizazi cha tatu na cha nne.’

2 Chronicles 7:10Katika siku ya ishirini na tatu ya mwezi wa saba Solomoni akawaaga watu waende nyumbani mwao, wakishangilia na kufurahi mioyoni mwao, kwa wema mwingi Bwana Mungu aliomtendea Daudi na Solomoni na kwa ajili ya watu wake Israeli. 1 Bwana Mungu Amtokea Solomoni (1 Wafalme 9:1-9)

Nehemiah 9:19“Kwa sababu ya huruma zako kuu hukuwaacha jangwani. Wakati wa mchana ile nguzo ya wingu haikukoma kuwaongoza katika njia yao, wala nguzo ya moto haikuacha kuwamulikia usiku njia iliyowapasa kuiendea.

Nehemiah 9:27Hivyo ukawatia mikononi mwa adui zao, ambao waliwatesa. Lakini walipoteswa, wakakulilia wewe. Kutoka mbinguni uliwasikia, nawe kwa huruma zako kuu ukawapa waokozi, waliowaokoa kutoka mikononi mwa adui zao.

Nehemiah 9:35Hata walipokuwa wangali katika ufalme wao, wakiufurahia wema wako mkuu katika nchi kubwa na yenye rutuba uliyowapa, hawakukutumikia wala kugeuka kutoka njia zao mbaya.

Psalms 63:3Kwa sababu upendo wako ni bora kuliko uhai, 2 midomo yangu itakuadhimisha. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 63:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 63:6Isaiah 63Isaiah 63:8 →