The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 66 › Isaya 66:17

Isaya 66:17

“Watu wote wanaojiweka wakfu na kujitakasa wenyewe ili kwenda bustanini, wakimfuata aliye katikati ya wale ambao hula nyama za nguruwe na panya pamoja na vitu vingine vilivyo machukizo, watafikia mwisho wao pamoja,” asema Bwana.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

They that sanctify themselves, and purify themselves in the gardens behind one tree in the midst, eating swine’s flesh, and the abomination, and the mouse, shall be consumed together, saith the LORD.

In Context

16Kwa maana kwa moto na kwa upanga wake 2 Bwana atatekeleza hukumu juu ya watu wote, 1 nao wengi watakuwa ni wale 2 waliouawa na Bwana.

18“Nami, kwa sababu ya matendo yao na mawazo yao, niko karibu kuja na kukusanya mataifa yote na lugha zote, nao watakuja na kuuona utukufu wangu.

Read all of Isaya 66

Cross References

Leviticus 11:29“ ‘Kuhusu wanyama watambaao juu ya ardhi, hawa ni najisi kwenu: kicheche, panya, aina yoyote ya mijusi mikubwa,

Isaiah 1:28Lakini waasi na wenye dhambi wote wataangamizwa, 2 nao wanaomwacha Bwana wataangamia. 1

Isaiah 65:3taifa ambalo daima hunikasirisha 2 machoni pangu, 1 wakitoa dhabihu katika bustani 2 na kufukiza uvumba juu ya madhabahu za matofali; 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 66:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 66:16Isaya 66Isaya 66:18 →