The Bible Software
bible.softwareJamesJames 1 › James 1:11

James 1:11

Kwa maana jua kali lenye kuchoma huchomoza na kuliunguza, likayakausha majani, na ua lake likapukutika, nao uzuri wake huharibika. Vivyo hivyo tajiri naye atanyauka akiwa anaendelea na shughuli zake. 1 Kujaribiwa

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For the sun is no sooner risen with a burning heat, but it withereth the grass, and the flower thereof falleth, and the grace of the fashion of it perisheth: so also shall the rich man fade away in his ways.

In Context

10Lakini yeye aliye tajiri afurahi kwa kuwa ameshushwa, kwa sababu atatoweka kama ua la shambani.

12Heri mtu anayevumilia wakati wa majaribu, kwa sababu akiisha kushinda hilo jaribio atapewa taji la uzima Mungu alilowaahidia wale wampendao.

Read all of James 1

Cross References

2 Samuel 22:46Wote wanalegea, 2 wanatoka katika ngome zao wakitetemeka. 1

Psalms 37:35Nimemwona mtu mwovu na mkatili akistawi 2 kama mwerezi wa Lebanoni, 1

Psalms 73:18Hakika unawaweka mahali pa utelezi, 2 unawaangusha chini kwa uharibifu. 1

Psalms 102:11Siku zangu ni kama kivuli cha jioni, 2 ninanyauka kama jani. 1

Isaiah 28:1Ole kwa lile taji la maua, kiburi cha walevi wa Efraimu, 2 kwa ua linalosinyaa, uzuri wa utukufu wake, 1 uliowekwa kwenye kichwa cha bonde lenye rutuba: 2 kwa ule mji, kiburi cha wale walioshushwa na mvinyo! 1

Isaiah 40:7Majani hunyauka na maua huanguka, 2 kwa sababu pumzi ya Bwana huyapuliza. 2 Hakika wanadamu ni majani. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study James 1:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← James 1:10James 1James 1:12 →