James 1:6
Lakini anapoomba, lazima aamini wala asiwe na shaka, kwa sababu mtu aliye na shaka ni kama wimbi la bahari, lililochukuliwa na upepo na kutupwa huku na huku.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7Mtu kama huyo asidhani ya kuwa atapata kitu chochote kutoka kwa Bwana.
Cross References
Genesis 49:4Usiyezuiwa kama maji, basi hutakuwa mkuu tena, 2 kwa kuwa ulipanda kwenye kitanda cha baba yako, 2 kwenye kitanda changu na kukinajisi. 1
Mark 11:22Yesu akawajibu, “Mwaminini Mungu.
1 Timothy 2:8Nataka kila mahali wanaume wasali wakiinua mikono mitakatifu pasipo hasira wala kugombana.
Hebrews 11:6Lakini pasipo imani haiwezekani kumpendeza Mungu, kwa maana yeyote anayemjia Mungu lazima aamini kwamba yeye yuko na ya kuwa huwapa thawabu wale wamtafutao kwa bidii.
2 Peter 2:17Watu hawa ni chemchemi zisizo na maji, na ukungu upeperushwao na tufani. Giza nene limewekwa tayari kwa ajili yao.